# of occurrences |
# of sentences |
Sample sentence |
0 |
309 |
Katika taarifa yake aliyoitoa juzi kwa vyombo vya habari, Dk. |
1 |
891 |
Mbunge wa Karatu (Chadema), Dk. |
2 |
1523 |
300, sasa linauzwa kwa bei ya kati ya Sh 700 na Sh1,000. |
3 |
2105 |
Wavuvi hao wanasema eneo hilo lina urefu wa zaidi ya mita 300 kutoka usawa wa bahari. |
4 |
2566 |
“Ikumbukwe kwamba kuwapo kwa uwanja sawa wa ushindani wa kisiasa, uchaguzi wa kidemokrasia utazalisha viongozi. |
5 |
2819 |
Vile vile tunatarajia kusikia serikali itatoa kiasi cha fedha kwa ajili ya Taifa Stars ili kuweza kupata uwakilishi mzuri badala ya kuikabidhi bendera tu na kuipa wosia wa kufanya vizuri bila kuwapa posho nzuri. |
6 |
2786 |
Tangu kuondoka kwa beki, Zuber Ubwa kujiunga Yanga na Hamis Yusuf kuwa majeruhi safu ya ulinzi imeyumba. |
7 |
2816 |
Wakati akiwa nchini huko katika ziara hiyo ya mafunzo, alifundishwa jinsi ya kulitawala jukwaa wakati akiimba pamoja na kuzoea kuimba kwenye umati. |
8 |
2783 |
Aidha, Kandoro aliitaka benki hiyo ijikite zaidi katika utoaji wa elimu ya kuwajengea uwezo wananchi kutumia rasilimali walizonazo kukopa ambapo alizitaja baadhi kuwa ni ardhi, nyumba. |
9 |
2436 |
Na akaangalia kuwa vitu vyote ambavyo vina uzito wa kiasi chochote hata uvirushe juu namna gani mwisho wake vyote vitajikuta vinaanguka ardhini. |
10 |
2105 |
Mashabiki wengi hawakuonekana kuwa na furaha hata baada ya mechi kumalizika, pengine ni wazi kutoridhishwa na kiwango walichoonyesha. |
11 |
1770 |
Hata wazee wa jamii mbalimbali za Kitanzania hujisikia furaha na amani kumkaribisha kijana aliye na ndoa katika mazungumzo yao ya kiutu uzima na hata kusikiliza mawazo mapya kutoka katika kizazi cha vijana ambayo wanaweza kuyachukua. |
12 |
1459 |
Siku nyingine tukubali kuchinja maksai ili tupate ngozi tuwambe kitanda tulale juu badala ya kutambaa chini na papasi, mende na kunguni, hayo si maisha. |
13 |
1091 |
Shein leo anaendelea na mikutano yake ya kampeni ambapo atafanya mkutano wa hadhara katika kijiji cha Paje, mkoa wa Kuisni Unguja, wakati mgombea wa CUF, Maalim Seif Sharif Hamad atakuwa jimbo la Gando katika eneo la Kizimbani. |
14 |
876 |
Alisema wakati hayo yakiendelea, katika Kata ya Ngulu, waangalizi hao waliona gari alilokuwa amepanda mbunge wa Singida Mashariki, Tundu Lisu likifukuzana na gari alilokuwa amepanda mbunge wa Tabora Mjini, Aden Rage. |
15 |
597 |
Wakati Munya alipoenda chumbani kupanga mabegi yake kwa ajili ya kujiandaa na safari ya kutoka mjengoni, kundi la Afrika Kusini la UBuhle Besintu lilipanda stejini na kushambulia kwa dansi kali za kiasili. |
16 |
389 |
“Ruzuku imewasaidia sana, wanafanya shughuli za siasa kwa nguvu na matarajio, mfano DP wana kiti kimoja cha diwani, wana ofisi wanalipiwa umeme, CHADEMA, wanajipanga na wanafanya siasa kwa nguvu…. |
17 |
259 |
Pamoja na kukiri kuwa mikusanyiko ya nje ya chuo inaweza kuwa na madhara kwa wanafunzi, Profesa Mgaya anaongeza kusema kuwa mikusanyiko ya ndani ya chuo ambayo aghlabu huendeshwa kwa usimamizi maalumu ina matokeo chanya kwa wanafunzi. |
18 |
168 |
Tumeona wasanii wenye majina makubwa duniani na pengine walioboreshewa mazingira na nchi zao walivyotumika katika kampeni mbalimbali za kimataifa zenye tija ambazo kupitia msanii nchi zao zinajitangaza. |
19 |
102 |
Mambo mengine ya msingi ya kuangalia ni kuwa muwazi kwa mwenzi wako, kusaidiana katika kazi mbalimbali kwa mfano kama mwenzi wako anaumwa unatakiwa kuangalia namna gani unaweza kufanya ili aweze kuwa na hali nzuri. |
20 |
64 |
Ikumbukwe kwamba wanamichezo wa Tanzania wananaposhiriki michezo ya kimataifa huwa wanabeba dhamana ya Watanzania wote kwani wanapofanya vizuri ni heshima ya nchi na wanapofanya vibaya aibu ni ya Tanzania. |
21 |
34 |
’’ “Mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni, nasisitiza kuwa kijana yule ni safi sana na mtaji wa kujivunia ndani ya chama, natamani hakika kama nilivyosema siku moja chama kiwe mikononi mwa watu kama Nape,’ alisisitiza Dk Malecela. |
22 |
21 |
“Nilianza na miradi midogo kama kuuza karanga,chachandu ya maembe,chachandu ya pilipili na chachandu ya mbilimbi lakini baadaye nikarudi tena SIDEO kwenda kujifunza utengenezaji wa mvinyo na nikaanza na wa rosella “ ambao watu waliupenda sana”. |
23 |
18 |
Kwa maneno mengine, kwa kuwa Serikali imeshindwa kuwapa wananchi mahitaji yao ya msingi na kwa gharama nafuu, inakuwa na unyonge usiokuwa wa lazima na inajiona haina haki ya kuingilia maisha ya wananchi au mwenendo wao. |
24 |
9 |
Ziko sababu nyingi lakini mojawapo kubwa ni ndoa zenyewe zilizo nyingi kutokuwa nzuri, wanaume wengine kwa wanarudi nyumbani wamelewa chakari, anatoa harufu ya pombe wachaaa, unalala tu ndani ufanye nini, lakini kwa kweli ni mateso. |
25 |
1 |
Unajua mimi nimesoma na Rais wenu… alikuwa kilaza sana, mara oooh usinione hivi nimesoma sana, nimetembelea nchi nyingi sana hapa duniani au aaah… nimeonana na wakubwa wengi katika dunia hii na mengine kama hayo. |
26 |
2 |
“Ninajiamini kutokana na maandalizi niliyoyapata kutoka kwa waandaaji wa Miss Tanzania, naenda China kuiwakilisha vyema nchi yangu na naamini nitafanya vizuri na kufikia rekodi nzuri zilizowekwa na baadhi ya warembo walionitangulia,” alisema Genevieve. |
29 |
1 |
Hii ndiyo huwa inanimaliza nguvu na kuchangia kuninyang'anya meno yangu mengi kwa kipondo kitokanacho na ubishi wangu ambao kwangu huwa nadhani una tija, lakini kwenu nadhani hauna tija, kwamba huwa sikubaliani kabisa na sera ya akutukanaye mkumbatie. |